Huduma ya Kwanza: Mtu aliyeungua
1. Chukua tahadhari. Hakikisha usije ukaungua wakati
unapojaribu kumwokoa mhanga
2.Zima moto lakini tumia busara
3. Poza eneo lililoungua kwa kumwagia maji yaliyopoa.
Unaweza kutumia maji ya bomba kwa majeraha madogo.
4.Iwapo kuna majeraha sehemu za mikono,miguu, au sehemu ya
tumbo omba msaada haraka.
Mhanga anahitaji huduma ya hospitali.
5. iwapo
ameungua sehemu za siri au usoni muaishe haraka hospitali
6.Kwa majeraha madogo unaweza kutumia maji ya baridi(sio
barafu au vuguvugu) au dawa kutuliza maumivu.
7. Iwapo maumivu ni makali muone
daktari.
No comments:
Post a Comment