Wednesday 24 September 2014

MADHARA YA KUJICHUA/KUPIGA PUNYETO

MADHARA YA KUJICHUA/KUPIGA PUNYETO

Kujichua au kujichezea (kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo, ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukiri kuwa wakizidiwa hufanya.

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja ndiyo usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja¡- hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.

Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa hupunguza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na mtumwa wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana (ndani ya dakika 3 tu).
Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.

" Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema. "
3. Umfanya mwanaume ashindwe kurudia ROUND YA PILINA KUENDELEA...
Hakuna mwanaume anayeweza kujichua kwa round tatu mfulululizo hapo hapo....

Kwa kuwa mwili unakuwa umeuzoeza kupiga round moja tu,tena fasta, ndivyo itakavyo kuwa hata ukiwa na mpenzi wako.

Vinginevyo upewe masaa kadhaa ya kupumzika.

4. Umfanya mwanaume kuwa MTUMWA wa kutaka kujichua kila wakati anapojisikia hamu...
"Athari nyingine ya kujichua ni kuwa umfanya mwanaume awe mtumwa, kama alizoea kupiga puri wakati wa kulala, au asubuhi, au mchana ni lazima afanye hivyo kila siku..."

Haijalishi yuko wapi; nyumbani, kazini, shuleni, chuoni hata angekuwa na wenzake, ni lazima atakimbilia hata chooni au bafuni ili mradi afanye hivyo.

5. Umfanya mwanaume ashindwe kabisa kutoa mbegu zilizo komaa (bao).

Hii hutokea kwa mwanaume au vijana waliozoea kujichua (kupiga puri) kwa muda kadhaa.
"tukubaliane kuwa VIDOLE ni tofaut kabisa na Njia ya uzazi wa mwanamke au mwamaume, ni vigumu (vimekakamaa) na havina maji maji, hali hii umfanya mwanaume ashindwe kupizi au kusimamisha, na hilo ni tatizo wakati mwingine."

Sasa inapotokea ukafanya mapenzi live baada ya kutoka katika kipindi kirefu cha KUJICHUA (kupiga puri),mwili hushindwa kuendana na mabadiliko hayo.

6 Ni rahisi kupatwa na maradhi kama KANSA YA KORODANI, kwa kitaalamu inaitwa PROSTATE CANCER.

"Uonjwa huu hushambulia mirija ya chini ya uume na huufanya mkojo kuwa na mrundikano mwingi wa damu." ukichelewa kutibiwa ugonjwa huu ni hatari! Una ua"

1 comment:

  1. Duh! We noma itakuwa uliwahi kuwa mshilika Umeeleza mambo kibao, Mimi naitwa Shaban Jumapi Ni mzoefu hako kamchezo toka nikiwa na umri wa miaka 8 hadi leo nikiwa na umri wa miaka 27 Ntaman sana kuacha ila nisha shindwa Naipenda ila tatizo moja tu inanipunguza body nikizidisha ni mwana mazoez tofauti na hapo niko poa kabisa, Naijuwa Vizuri punyote kuliko mtu anavyo fikilia,Dah! Punyoto

    ReplyDelete