Wataalamu wa mambo ya afya wamekuwa wakisisitiza sana kuhusu
umuhimi wa kudumisha afya bora kupitia kufanya mazoezi.
Mazoezi sio kunyakua chuma tu,kama watu wengi kwa wakati huu
wanavyokimbilia na kutunisha misuli bila kujali mahitaji ya mwili.
Mazoezi ya mwili ni muhimu sana kwa kwa afya ya mwili.
FAIDA YA MAZOEZI
Mazoezi ya mwili husaidia kurekebisha shinikizo la damu
[blood pressure]
Mazoezi ya mwili huruhusu damu nyingi zaidi kufika sehemu
zote za mwili na kufanya mwili mzima
kuwa na joto.
Mazoezi ya mwili uweza kupunguza mfadhaiko wa mwili na moyo,
na kukufanya uweze kujisikia vizuri
zaidi katika maisha yako.
Mazoezi ya mwili ni tiba bora kwa koundoa wasiwasi na msongo
wa mawazo.
Mazoezi ya mwili hufanya akili kuchangamka na kuongeza uwezo
wa kufikili na akili.
Mazoezi ya mwili husaidia kurutubisha kinga za mwili na
kufanya kinga kuwa imra kupambana na magon
kuanzia leo nitabadilika
ReplyDelete